Shaykh Muhammad ibn Swaleh Al-Uthaymeen

watu mashuhuri na wenye hadh binafsi Kadi ya maelezo ya watu wote
Anuwani: Shaykh Muhammad ibn Swaleh Al-Uthaymeen
Maelezo kwa ufupi.: Ni Abuu Abdillah Muhammad Ibn Swaleh bin Swaleh bin Sulaiman bin Abdul Rahman bin Othman bin Abdullah bin Abdulrahman bin Ahmed bin Muqbil katika Ali Muqbil katika Al Raes Al Wahbiy AlTamimi, na Babu yake wa nne Othman ndie alie itwa Uthaymeen, akajulikana kwa jina hilo, nae nikatika kizazi cha Wahb katika ukoo wa Tamiim , kutoka katika sehemu inaitwa Alwashmu mpaka Unayzah.
Tarehe ya kuongezwa: 2015-02-17
kiungo kwa ufupi: http://IslamHouse.com/813753
Maudhui zinazo ambatana na.. ( 13 )
Go to the Top