Hatari Ya Ushirikina 2
Kadi ya maelezo ya watu wote
Anuwani: Hatari Ya Ushirikina 2
Lugha: Kiswahili
Mhadhiri: Hashim Rusaganya
Kupitia: Abubakari Shabani Rukonkwa
Maelezo kwa ufupi.: Mada hii inazungumzia: Ubaya wa ushirikina na haatari ya kumsingizia mwanamke uchafu wa zinaa na kwamba uislamu umelinda hadhi na heshima ya mwanamke, pia imezungumzia maana ya msemo: “Hakuna anae towa fatwa na Imamu maliki akiwa madina”.
Tarehe ya kuongezwa: 2016-02-22
kiungo kwa ufupi: http://IslamHouse.com/2794893
Kadi hii pia imetafsiriwa katika lugha zifuatazo:: Kiarabu