Kwa nini sisi tupo hapa?

Anuwani: Kwa nini sisi tupo hapa?
Lugha: Kingereza
Maelezo kwa ufupi.: Yatakiwa mtu ajiulize maswali mengi ktk kichwa chake:
1: kwa nini tupo hapa duniani?
2: tumekuja kufanya nini?
3: kabla ya kuwepo hapa tulikua wapi?
ukijiuliza maswali haya utapata majibu ya sababu za kuwepo hapa duniani.
1: kwa nini tupo hapa duniani?
2: tumekuja kufanya nini?
3: kabla ya kuwepo hapa tulikua wapi?
ukijiuliza maswali haya utapata majibu ya sababu za kuwepo hapa duniani.
Tarehe ya kuongezwa: 2015-11-22
kiungo kwa ufupi: http://IslamHouse.com/2781683
Anwani hizi zimepangwa chini ya uainishaji ufuatao::