Uislamu na kufanya haraka

Video Kadi ya maelezo ya watu wote
Anuwani: Uislamu na kufanya haraka
Lugha: Kingereza
Maelezo kwa ufupi.: Kwenye Muhadhara huu kabainisha Sh: Khaled Yasin ya kwamba ni wajibu wetu kuwakinaisha watu kuhusu Uislamu kimatendo, na tusitosheki pekeyake kutoa dalili tu, yatakiwa mifano mbali mbali kama: Biashara ya Riba, kunywa pombe, sigara, madawa ya kulevya, kujitoa muhanga, Uislamu ni Dini yenye ufumbuzi wa yote hayo na matatizo ya maisha kwaujumla.
Tarehe ya kuongezwa: 2015-10-20
kiungo kwa ufupi: http://IslamHouse.com/2776953
Kadi hii pia imetafsiriwa katika lugha zifuatazo:: Kingereza - Kiarabu - Terugu - Malayalam - Amharic - Kireno - Afar
Viambatanisho ( 2 )
1.
Muslims in Islam Taking Action
120.7 MB
2.
Muslims in Islam Taking Action
Go to the Top