Umuhimu wa kukimbilia kutekeleza Nguzo ya Hijja

Anuwani: Umuhimu wa kukimbilia kutekeleza Nguzo ya Hijja
Lugha: Kiswahili
Msambazaji: Tovuti ya Alhidaaya kwa lugha ya kiswahili
Maelezo kwa ufupi.: Mada hii inazungumzia:Sababu za kukimbilia kutekeleza ibada ya hija miongini mwa sababu hizo: nikwamba mwanadamu hajuwi siku ya kufa, na hatuna uhakika wa kuishi, na kwasababu hija inaubora mkubwa, na kufutiwa madhambi na kuingia peponi.
Tarehe ya kuongezwa: 2015-09-30
kiungo kwa ufupi: http://IslamHouse.com/2775027
Kadi hii pia imetafsiriwa katika lugha zifuatazo:: Kiarabu