Nafasi Ya Vijana Katika Uislam

Sauti (Audios) Kadi ya maelezo ya watu wote
Anuwani: Nafasi Ya Vijana Katika Uislam
Lugha: Kiswahili
Mhadhiri: Abuu Anasi Bwaluka
Kupitia: Yunus Kanuni Ngenda
Msambazaji: Ofisi ya da’awah na kuhamasisha jamii ilipo Rabuwa Riyadh
Maelezo kwa ufupi.: 1- Mada hii inazungumzia: Nafasi ya vijana katika uislam, na neema ya ujana, na kila kijana ataulizwa siku ya qiyama, pia amezungumzia uwajibu wa vijana kuutumia ujana wao katika kufanya ibada, kama kusimamisha Swala, Funga na Hijja, ili kupata radhi za Allah.
2- Mada hii inazungumzia: Vijana ni hazina kubwa katika uislam tangu zamani, nakwamba vijana ndio wenye uwezo wa kuvumilia mashaka na misukosuko, pia imezungumzia umuhimu wa vijana kujipamba na tabia njema.
Tarehe ya kuongezwa: 2015-09-29
kiungo kwa ufupi: http://IslamHouse.com/2774980
Anwani hizi zimepangwa chini ya uainishaji ufuatao::
Kadi hii pia imetafsiriwa katika lugha zifuatazo:: Kiarabu
Viambatanisho ( 2 )
1.
Nafasi Ya Vijana Katika Uislam 1
6.9 MB
: Nafasi Ya Vijana Katika Uislam 1.mp3
2.
Nafasi Ya Vijana Katika Uislam 2
7.6 MB
: Nafasi Ya Vijana Katika Uislam 2.mp3
Go to the Top