Sheria aliyo kuja nayo Muhamad (s.a.w)

Sauti (Audios) Kadi ya maelezo ya watu wote
Anuwani: Sheria aliyo kuja nayo Muhamad (s.a.w)
Lugha: Kiswahili
Mhadhiri: Qasim Mafuta
Kupitia: Abubakari Shabani Rukonkwa
Msambazaji: Ofisi ya da’awah na kuhamasisha jamii ilipo Rabuwa Riyadh
Maelezo kwa ufupi.: 1- Mada hii inazungumzia: Sheria aliyokuja nayo Mtume (s.a.w) na kwamba ndiyo iliyokuja kufuta sheria za nyuma, na kwamba nisheria inayo simamia haki zote, pia inazungumzia umuhimu wa kuamrisha mema na kukataza mabaya.
2- Mada hii inazungumzia: Faida na muhimu wa mahakama ya Qadhi na kwamba sheria ya kiislam inajulikana duniani, pia imezungumzia waislam kuwa na tahadhari kutokana na maadui wa uislam.
3- Mada hii inazungumzia: Uislam siyo dini ya daraja la pili na kwamba imefika wakati waislam tubadilike na tuishike dini yetu, pia tuhamasishane katika dini na ucha Mungu tuache hamasa zisizo na faida katika dini yetu.
Tarehe ya kuongezwa: 2015-09-21
kiungo kwa ufupi: http://IslamHouse.com/2774594
Anwani hizi zimepangwa chini ya uainishaji ufuatao::
Kadi hii pia imetafsiriwa katika lugha zifuatazo:: Kiarabu
Viambatanisho ( 3 )
1.
Sheria aliyo kuja nayo Muhamad (s.a.w) 1
4.8 MB
: Sheria aliyo kuja nayo Muhamad (s.a.w) 1.mp3
2.
Sheria aliyo kuja nayo Muhamad (s.a.w) 2
4 MB
: Sheria aliyo kuja nayo Muhamad (s.a.w) 2.mp3
3.
Sheria aliyo kuja nayo Muhamad (s.a.w) 3
4 MB
: Sheria aliyo kuja nayo Muhamad (s.a.w) 3.mp3
Go to the Top