Ni nani Mtume wa Uislamu?

Sauti (Audios) Kadi ya maelezo ya watu wote
Anuwani: Ni nani Mtume wa Uislamu?
Lugha: Kifaransa
Msambazaji: Ofisi ya da’awah na kuhamasisha jamii ilipo Rabuwa Riyadh
Maelezo kwa ufupi.: Muhadhara huu wamuelezea Nabii Muhammad (s.a.w), na tabia zake na nafasi yake kwenye nyoyo za Waislamu na ulimwenguni kote. na kubainisha hakika ya Mtume (s.a.w), kwa wasiyokuwa Waislamu, kama zinazo fanyika mbinu mbali mbali kumtia kasoro. kaelezea mtowa mada kuhusu huruma yake na kusamehe kwake na uadilifu wake na tabia yake (s.a.w), na kabainisha njia sahihi ya kumuiga ktk kuondowa matatizo ktk jamii.
Tarehe ya kuongezwa: 2015-09-18
kiungo kwa ufupi: http://IslamHouse.com/2774156
Kadi hii pia imetafsiriwa katika lugha zifuatazo:: Kifaransa - Kiarabu - Kingereza - Malayalam - Amharic - Afar - Kitigrinya - Kireno
Viambatanisho ( 1 )
1.
Qui est le prophète de l'islam?
54.9 MB
:  Qui est le prophète de l'islam?  .mp3
Go to the Top