Adabu Za Safari Ya Kuelekea Hijjah Na Umra

Sauti (Audios) Kadi ya maelezo ya watu wote
Anuwani: Adabu Za Safari Ya Kuelekea Hijjah Na Umra
Lugha: Kiswahili
Mhadhiri: Yasini Twaha Hassani
Kupitia: Yunus Kanuni Ngenda
Msambazaji: Ofisi ya da’awah na kuhamasisha jamii ilipo Rabuwa Riyadh
Maelezo kwa ufupi.: Mada hii inazunguzia: Ubora wa kutia nia thabiti katika safari ili kupata malipo ya safari na malipo ya ibada ya Hijja, pia imezungumzia miongoni mwa sunna za safari kama vile kusoma dua mwanzo na mwisho wa safari kama alivyo fundisha Mtume (s.a.w)
Tarehe ya kuongezwa: 2015-09-07
kiungo kwa ufupi: http://IslamHouse.com/2772221
Anwani hizi zimepangwa chini ya uainishaji ufuatao::
Kadi hii pia imetafsiriwa katika lugha zifuatazo:: Kiarabu
Viambatanisho ( 1 )
1.
Adabu Za Safari Ya Kuelekea Hijjah Na Umra
13.9 MB
: Adabu Za Safari Ya Kuelekea Hijjah Na Umra.mp3
Angalia ( 1 )
Go to the Top