Kisa cha kuslimu msomi katika watu wa Ulaya

Video Kadi ya maelezo ya watu wote
Anuwani: Kisa cha kuslimu msomi katika watu wa Ulaya
Lugha: Kiarabu
Maelezo kwa ufupi.: Muda mchache ulio pita kaingia katika uislamu kwa sababu ya aliyo yapata ndani ya Qur-ani kwa ukweli uliyopo ndani yake na kuthibitisha mambo ya kisayanse kwa karne ya 20, mambo yalikuwa hayajulikani kabla ya hapo, msomi huyu alikuwa haamini kuwepo Mungu, na alikuwa haamini dini yoyote, lakini mwishoni kafahamu ya kwamba Uislamu ndio dini sahihi, akaingia, na yeye kwa sasa anamuomba Mwenyezi Mungu amfishe akiwa Muislamu.
Tarehe ya kuongezwa: 2015-09-05
kiungo kwa ufupi: http://IslamHouse.com/2771822
Kadi hii pia imetafsiriwa katika lugha zifuatazo:: Kiarabu - Kingereza - Indonesian - Amharic - Afar - Malayalam - Sinhalese - Tamil - RUSIA - China - Kireno - Uzbek - Kitigrinya
Loading the player...
Viambatanisho ( 1 )
1.
قصة إسلام عالم أوروبي
42.1 MB
Go to the Top