Kufikia Malengo

Sauti (Audios) Kadi ya maelezo ya watu wote
Anuwani: Kufikia Malengo
Lugha: Kiswahili
Mhadhiri: Qasim Mafuta
Kupitia: Abubakari Shabani Rukonkwa
Msambazaji: Ofisi ya da’awah na kuhamasisha jamii ilipo Rabuwa Riyadh
Maelezo kwa ufupi.: 1- Khutuba ya Iddi amezungumzia neema ya kuwa na uongofu nakufikishwa katika mwezi wa Ramadhan, na wepesi wa kumalizika umri, na kwamba Ramadhani nishule, na malengo ya swaumu niuchamungu, na kulifikia lengo hilo nikufanya mema baada ya Ramadhani.
2- Khutuba ya Iddi amezungumzia sababu za kufuata makundi yalio potea na fikra potovu nikuto kuisoma elimu ya dini, na kukosa malezi bora kwa mtoto, na wazazi kuwatupa watoto wao, Na kuinusuru dini nikuisoma dini, pia ametaja adabu za Iddi
Tarehe ya kuongezwa: 2015-08-19
kiungo kwa ufupi: http://IslamHouse.com/2769874
Anwani hizi zimepangwa chini ya uainishaji ufuatao::
Kadi hii pia imetafsiriwa katika lugha zifuatazo:: Kiarabu
Viambatanisho ( 2 )
1.
Kufikia Malengo 1
4.1 MB
: Kufikia Malengo 1.mp3
2.
Kufikia Malengo 2
4.3 MB
: Kufikia Malengo 2.mp3
Go to the Top