Haki za muislamu katika uislamu

Anuwani: Haki za muislamu katika uislamu
Lugha: Kiarabu
Maelezo kwa ufupi.: Katika zama hizi husemwa sana kuhusu haki za binadamu, maneno haya husemwa sana na umoja wa mataifa, na nchi za kimagharibi, na kwahakika waislamu wanazo haki pia, -haki za binadamu- na neno hili wengi huzania ya kwamba limeanzishwa na nchi za kikafiri, Mwenyezi Mungu ndie alimjaalia binadamu kuwa na haki, kama alivyo jaalia kuwa na mambo ya wajibu.
Tarehe ya kuongezwa: 2015-07-20
kiungo kwa ufupi: http://IslamHouse.com/903339
Anwani hizi zimepangwa chini ya uainishaji ufuatao::
