Uislamu ni dini ilio kamilika

Anuwani: Uislamu ni dini ilio kamilika
Lugha: Kiarabu
Maelezo kwa ufupi.: Kitabu asili yake ni muhadhara alio utoa sheikh Muhammad Amin bin Muhammad Almuhtar Ash-shanqitwi (r.h), katika muskiti wa Mtume (s.a.w), kaelezea mambo kumi yanayo zunguka dini:
1-Tauhidi. 2-Mawaidha. 3-Tofauti ya matendo mema na mengineyo. 4-Kuhukumu kinyume na sheria ya Mungu. 5-Hali ya kijamii. 6-Uchumi. 7-Siasa. 8-Gogoro la makafiri kuwatawala waislamu. 9-Tatizo la udhaifu wa waislamu na uchache wa maandalizi dhidi ya maaduwi wao. 10-Gogoro la kutofautiana nyoyo katika jamii.

Tarehe ya kuongezwa: 2015-07-20
kiungo kwa ufupi: http://IslamHouse.com/903338