Sherehe ya maana ya uislamu
Kadi ya maelezo ya watu wote
Anuwani: Sherehe ya maana ya uislamu
Lugha: Kiarabu
Maelezo kwa ufupi.: Sherehe ya maana ya uislamu: katika makala haya tunaelezea maana ya uislamu na nguzo zake kwa ufupi, uislamu ni dini iliyo ridhiwa na Mwenyezi Mungu ili ifuatwe na nguzo zake ni tano: 1- kukubali kwa moyo na kutamka kwa ulimi ya kwamba hapana mola apasae kuabudiwa kwa haki isipokuwa Mwenyezi Mungu pekeyake, na Muhammad (s.a.w), ni mja wake na mtume wake. 2- kusimamisha swala. 3- kutoa zakka. 4- kufunga mwezi mtukufu wa ramadhani. 5- kwenda hijjah kwa mwenye uwezo.
Tarehe ya kuongezwa: 2015-07-15
kiungo kwa ufupi: http://IslamHouse.com/903116
Maudhui zinazo ambatana na ( 9 )