Ndoto
Kadi ya maelezo ya watu wote
Anuwani: Ndoto
Maelezo kwa ufupi.: Mtu akilala na kuota ndoto nzuri yatakiwa afanye mambo (3) baada ya kushtuka
1: kusema Alhamdulillah. 2: Afurahi. 3: Awaambie watu anaowapenda.
ukiota ndoto mbaya utafanya mambo yafuatayo:
1: sema Audhubillahi minash' shaitwani rrajim mara (3). 2: utageuka ubavu ulalie ubavu wa kulia. 3: utatoa cheche za mate mara (3) upande wa kushoto. 4: Aombe dua kwa kusema: Mwenezi Mungu najilinda kwako kutokana na shari ya ndoto nilio iona na kutokana na shari ya shaitwani. 5: ndoto mbaya zikizidi swali rakaa (2).

kiungo kwa ufupi: http://IslamHouse.com/896673
Kadi hii pia imetafsiriwa katika lugha zifuatazo:: Kiarabu - Bengali - Kiholanzi - Kurdish - Bosnian - Kihindi - Kingereza - Uzbek - Thai - Uyghur - Tajik - Kifaransa - Kinepali - Kifurusi - China - Serbian - Kannada - Terugu - Malayalam - Kivetinam - Kibambari - Somalia - Italian - Urdu - Spanish - Madagascar - Kitigrinya - Akani - Sinhalese - Tamil - Amharic - Afar - Kituruki - Hausa - Kazakh - Albanian - Wolof - Kiassam - Yoruba - Mori - Indonesian - Kiganda - Circassian - Turkmani - Macedonian