Miujiza Ya Mtume (s.a.w) 44

Video Kadi ya maelezo ya watu wote
Anuwani: Miujiza Ya Mtume (s.a.w) 44
Lugha: Kiswahili
Mhadhiri: Yasini Twaha Hassani
Kupitia: Abubakari Shabani Rukonkwa
Msambazaji: Ofisi ya da’awah na kuhamasisha jamii ilipo Rabuwa Riyadh
Maelezo kwa ufupi.: Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa watu waliodai Utume ni Milza Ahmadi Alkaadiyan aliyedai kwamba anapata wahyi kutoka mbinguni, pia imezungumzia muujiza wa Mtume (s.a.w) aliposema kwamba utakithiri ujinga katika zama hizi na elimu itashuka.
Tarehe ya kuongezwa: 2016-03-09
kiungo kwa ufupi: http://IslamHouse.com/2797602
Kadi hii pia imetafsiriwa katika lugha zifuatazo:: Kiarabu
Viambatanisho ( 3 )
1.
lg8tYjStwrE?rel=0
2.
2797602.mp4
183.4 MB
3.
sw_44_Miujiza_Ya_Mtume.mp3
52.6 MB
: sw_44_Miujiza_Ya_Mtume.mp3.mp3
Angalia ( 44 )
Go to the Top