Dini sahihi

Anuwani: Dini sahihi
Lugha: Polish
Utunzi: Bilal Philips
Msambazaji: Chama cha kueneza uislam
Maelezo kwa ufupi.: Kitabu hiki chazungumzia maana ya dini ya uislamu kwa ufupi, na kwamba ndio dini sahihi Allah hakubali dini kinyume na hiyo, akaelezea dini nyingine na kuonyesha ubatili wake, na ukweli kuhusu Issa na Mama yake (s.a.w), na Uislamu ni dini ya ulimwengu mzima, na hikma ya kuumbwa majini na binadamu.
Tarehe ya kuongezwa: 2015-12-25
kiungo kwa ufupi: http://IslamHouse.com/2786126
