Utakuwaje Muislamu

Anuwani: Utakuwaje Muislamu
Lugha: Kiholanzi
Maelezo kwa ufupi.: Kitabu kimefanyiwa tarjama kwa lugha ya Holande, ni muongozo kwa wasiokuwa waisilamu, kwa kuwalingania kuwa waisilamu na kubainisha ubora wake, kataja mtunzi nguzo za uisilamu, na kataja dalili kutoka katika Qur-an na Sunna.
Tarehe ya kuongezwa: 2015-12-25
kiungo kwa ufupi: http://IslamHouse.com/2786123