Maisha yanayo takiwa na uislamu

Sauti (Audios) Kadi ya maelezo ya watu wote
Anuwani: Maisha yanayo takiwa na uislamu
Lugha: Kiarabu
Maelezo kwa ufupi.: Kwa hakika kila mwenye roho anataka maisha bora na kujitahidi ayapata, tofauti ni namna ya kuyafikia hayo maisha , na Mwenyezi Mungu kabainisha ktk kitabu chake kitukufu ni nuru kwa mwenye kutaka nuru hiyo, amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu: (Enyi mlio amini! Muitikieni Mwenyezi Mungu na Mtume anapo kuitieni jambo la kukupeni uzima wa milele. Na jueni kuwa Mwenyezi Mungu huingia kati ya mtu na moyo wake, na kwamba hakika kwake Yeye tu mtakusanywa). (Al-Anfaal: 24).
Tarehe ya kuongezwa: 2015-12-22
kiungo kwa ufupi: http://IslamHouse.com/2785671
Anwani hizi zimepangwa chini ya uainishaji ufuatao::
Kadi hii pia imetafsiriwa katika lugha zifuatazo:: Kiarabu - Kingereza - Indonesian - Afar - Malayalam - Sinhalese - Tamil - China - Kivetinam - RUSIA - Kireno - Uzbek - Kitigrinya - Kiassam
Viambatanisho ( 1 )
1.
الحياة التي ينشدها الإسلام
9.7 MB
: الحياة التي ينشدها الإسلام.mp3
Go to the Top