Kwa nini wanawake wengi wanaingia ktk Uislam kuliko wanamume?

Anuwani: Kwa nini wanawake wengi wanaingia ktk Uislam kuliko wanamume?
Lugha: Kingereza
Maelezo kwa ufupi.: Katika kipindi hiki ataelezea sheikh Eddie sababu zinazo pelekea wanawake wengi kuingia ktk Uislam kuliko wanamume, na namna walivyo pata uhuru wa kweli na amani ndani ya Uislamu.
Tarehe ya kuongezwa: 2015-12-01
kiungo kwa ufupi: http://IslamHouse.com/2782937
