Ibada tukufu ya Hija na Hukumu zake

Sauti (Audios) Kadi ya maelezo ya watu wote
Anuwani: Ibada tukufu ya Hija na Hukumu zake
Lugha: Kiswahili
Mhadhiri: Qasim Mafuta
Kupitia: Yunus Kanuni Ngenda
Msambazaji: Ofisi ya da’awah na kuhamasisha jamii ilipo Rabuwa Riyadh
Maelezo kwa ufupi.: 1- Mada hii inazungumzia: Maana ya Hijja kilugha na kisheria, na ni nguzo katika nguzo tano za uislam, pia imebainisha kwamba Hijja ni fardhi inatekelezwa mara moja katika umri.
2- Mada hii inazungumzia: Umuhimu kwa mwenye kuhiji kuwa na nia thabiti pamoja na kujikurubisha kwa Allah, pia imezungumzia mambo ya kujifunza katika ibada ya Hijja na tahadhari ya kuiga uzushi.
3- Mada hii inazungumzia: Hijja na Umra na fadhila zake pamoja na alama za mwenye kufanya Hijja ya kweli, pia imezungumzia kwamba Hijja ni fardhi kwa waislam wote wanaume na wanawake.
4- Mada hii inazungumzia: Aina za maandalizi ya Hijja na imefafanua kuhusu Hijja ya mtoto mdogo, pia imezungumzia umuhimu wa kuchunga utaratibu na makatazo baada ya Ihram.
5- Mada hii inazungumzia: Namna Mtume (s.a.w) alivyoruhusu kumuhijia mzazi asiyejiweza kutokana na uzee au ugonjwa, na kwamba inafaa mwanaume kumuhijia mwanamke na mwanamke kumuhijia mwanaume, pia mada hii ina maswali na majibu.
Tarehe ya kuongezwa: 2015-09-21
kiungo kwa ufupi: http://IslamHouse.com/2774543
Anwani hizi zimepangwa chini ya uainishaji ufuatao::
Kadi hii pia imetafsiriwa katika lugha zifuatazo:: Kiarabu
Viambatanisho ( 5 )
1.
Ibada tukufu ya Hija na Hukumu zake 1
3.1 MB
: Ibada tukufu ya Hija na Hukumu zake 1.mp3
2.
Ibada tukufu ya Hija na Hukumu zake 2
3.1 MB
: Ibada tukufu ya Hija na Hukumu zake 2.mp3
3.
Ibada tukufu ya Hija na Hukumu zake 3
3.4 MB
: Ibada tukufu ya Hija na Hukumu zake 3.mp3
4.
Ibada tukufu ya Hija na Hukumu zake 4
4.4 MB
: Ibada tukufu ya Hija na Hukumu zake 4.mp3
5.
Ibada tukufu ya Hija na Hukumu zake 5
4.4 MB
: Ibada tukufu ya Hija na Hukumu zake 5.mp3
Go to the Top