Maswali makubwa

Anuwani: Maswali makubwa
Lugha: Kingereza
Maelezo kwa ufupi.: Muhadhara wa video kwa lugha ya kingereza anajibu Dr. Lawrence Brown maswali mazito mazito yanayo umiza kichwa nayo: Nani aliyeniumba? na kwa nini nipo hapa? na nitapokuwa mwema jee hili halitoshi? na kwanini hatuwezi kumuabudu Mungu kwa utaratibu tunaoutaka?.
Tarehe ya kuongezwa: 2015-09-18
kiungo kwa ufupi: http://IslamHouse.com/2774131