Nataka kuingia katika Uislamu lakini...

Anuwani: Nataka kuingia katika Uislamu lakini...
Lugha: German
Maelezo kwa ufupi.: Makala imetafsiriwa kwa lugha ya Almania ikielezea ufahamu wa kimakosa kuhusu kuingia katika Uislamu ikiwemo:
1: Mwenyezi Mungu kafanya wepesi katika kuingia kwenye Uilsamu, na wala hajaweka uzito wowote, 2:Tofauti ya ufahamu wa kimakosa, unaoweza kumzuwia mtu kuingia katika Uislamu, 3: Mdhambi yaliyo tangulia, na khofu kwa yaliyo tangulia, au kutompata mjuzi katika waislamu, haifai kabisa kumzuwiya mtu yeyote anaetaka kuingia katika Uislamu.

Tarehe ya kuongezwa: 2015-09-07
kiungo kwa ufupi: http://IslamHouse.com/2772170