maana Uislamu na makusudio yake

Anuwani: maana Uislamu na makusudio yake
Lugha: Kibambari
Maelezo kwa ufupi.: Muhadhara kwa lugha ya Bambaria, ukielezea maana ya Uislamu, na kubainisha uhalisia wa uislamu sahihi, na kwamba katika malengo ya Uislamu ni: kutengeneza nyoyo,kujenga familia ya kiislamu, na kutengeneza jamii iliyo bora, kwa kufanya hivyo watu wote watakuwa bora.
Tarehe ya kuongezwa: 2015-09-07
kiungo kwa ufupi: http://IslamHouse.com/2771996