Njia ya kuelekea katika uislamu
Kadi ya maelezo ya watu wote
Anuwani: Njia ya kuelekea katika uislamu
Lugha: Kiarabu
Maelezo kwa ufupi.: Njia ya kuelekea katika uislamu: Kitabu hiki kinakuongoza katika uzima wa milele, kinakuongoza katika Imani ya kumjua Mola wako alie kuumba, na kinakuongoza katika itikadi sahihi inayo kubaliana na akili yako na maumbile yako,utajua kupitia kitabu hiki mwanzo wa kuumbwa binadamu na mwisho wake, na hikima ya kuwepo kwake, na mengineyo.
kitabu hiki kimeandaliwa kwaajili ya wasiokuwa waislamu, kwa maana hiyo utaona kipo kwa ufupi.
kitabu hiki kimeandaliwa kwaajili ya wasiokuwa waislamu, kwa maana hiyo utaona kipo kwa ufupi.
Tarehe ya kuongezwa: 2015-09-05
kiungo kwa ufupi: http://IslamHouse.com/2771687
Maudhui zinazo ambatana na ( 2 )