Dhambi Ya Uzinifu Na Sababu Zake

Sauti (Audios) Kadi ya maelezo ya watu wote
Anuwani: Dhambi Ya Uzinifu Na Sababu Zake
Lugha: Kiswahili
Mhadhiri: Husseni Saidi Sembe
Kupitia: Abubakari Shabani Rukonkwa
Msambazaji: Ofisi ya da’awah na kuhamasisha jamii ilipo Rabuwa Riyadh
Maelezo kwa ufupi.: 1- Mada hii inazungumzia: Uzito wa dhambi ya uzinifu na kwamba ni katika madhambi makubwa yenye kuangamiza, pia imezungumzia makatazo ya Allah juu ya uchafu wa zinaa na kuto kuikaribia zinaa, pia amezungumzia nyumba za zinaa.
2- Mada hii inazungumzia: sifa za watu wema na adhabu za wazinifu, kisha amebainisha madhambi makubwa, kisha akataja kuwa kuikurubia zinaa niharamu na nitabia mbaya.
3- Mada hii inazungumzia: Sababu za uzinifu miongoni mwa sababu hizo nikuviachia viungo na kuto kuweka mipaka katika kuishi na wanawake, nakuto kuinamisha macho na ndimi, sababu ya pili nikuzurura na wanawake na kuongozana nao.
4- Mada hii inazungumzia: Dhambi za uzinifu na sababu zake sababu ya tatu nikupeyana mikono na kugusana, na amezungumza uzito wa dhambi ya kumshika mwanamke asie halali kwake, pia ametaja sababu zinazo pekelea kugusana, sababu ya nne nikuingia katika sehemu za wanawake.
5- Mada hii inazungumzia: Sababu za uzinifu miongoni mwa sababu hizo ya tano nikukaa faragha mwanamume na mke ila akiwa nimahrim, katika faragha nikurejea masomo wanawake na wanaume katika vyuo na mashule, na katika kuchumbiyana, kisha amezungumza uwezo wa mwanamke katika kumpa mtihani mwanamume.
Tarehe ya kuongezwa: 2015-08-30
kiungo kwa ufupi: http://IslamHouse.com/2770783
Anwani hizi zimepangwa chini ya uainishaji ufuatao::
Kadi hii pia imetafsiriwa katika lugha zifuatazo:: Kiarabu
Viambatanisho ( 5 )
1.
Dhambi Ya Uzinifu Na Sababu Zake 1
2.4 MB
:  Dhambi Ya Uzinifu Na Sababu Zake 1.mp3
2.
Dhambi Ya Uzinifu Na Sababu Zake 2
2 MB
: Dhambi Ya Uzinifu Na Sababu Zake 2.mp3
3.
Dhambi Ya Uzinifu Na Sababu Zake 3
2.6 MB
: Dhambi Ya Uzinifu Na Sababu Zake 3.mp3
4.
Dhambi Ya Uzinifu Na Sababu Zake 4
2.8 MB
: Dhambi Ya Uzinifu Na Sababu Zake 4.mp3
5.
Dhambi Ya Uzinifu Na Sababu Zake 5
3.1 MB
: Dhambi Ya Uzinifu Na Sababu Zake 5.mp3
Go to the Top