Mwanamke Wa Kislam Baina Ya Pepo Na Maoto

Sauti (Audios) Kadi ya maelezo ya watu wote
Anuwani: Mwanamke Wa Kislam Baina Ya Pepo Na Maoto
Lugha: Kiswahili
Mhadhiri: Shamsi Ilmi
Kupitia: Abubakari Shabani Rukonkwa
Msambazaji: Ofisi ya da’awah na kuhamasisha jamii ilipo Rabuwa Riyadh
Maelezo kwa ufupi.: 1- Mada hii inazungumzia umuhimu wa kuandaa darsa kwa wanawake, kwasababu ndio wengi motoni, na ametaja sababu za kuwa wengi motoni, kasha amehusiya watu wahifadhi ndimi zao.
2- Mada hii inazungumzia sababu ya wanawake kuingia motoni kama kulani sana na kukataa wema wa mume wake, ametaja jinsi mwaname anavyo shawishika katika zama hizi, kisha amezungumzia maana ya ugeni katika dini .
3- Mada hii inazungumzia baadhi ya mifano kwa wanawake walio pata mateso lakini wakathibiti katika dini, kama Mwanamke aliekuwa anafanya kazi ya kuwasuka mabinti wa Firauni, na mke wa Firauni amehimiza umuhimu wa kuithamini Dini.
4- Mada hii inazungumzi halia za wanawake wa kiislam na udhaifu wao katika ibada nakudai kwao haki sawa, na baadhi ya hoja dhaifu katika kuvaa hijabu, kisha akabainisha umuhimu wa mwanamke wa kiislam kushikamana na dini.
5- Mada hii inazungumzia tabia ya kusengenya wanawake, na uharamu wake, na uwajibu wa kuhifadhi ndimi, kisha akataja kuwa mwanamke atakaeshikamana na dini atakuwa peponi na familia yake.
Tarehe ya kuongezwa: 2015-08-24
kiungo kwa ufupi: http://IslamHouse.com/2770162
Anwani hizi zimepangwa chini ya uainishaji ufuatao::
Kadi hii pia imetafsiriwa katika lugha zifuatazo:: Kiarabu
Viambatanisho ( 5 )
1.
Mwanamke Wa Kislam Baina Ya Pepo Na Maoto 1
9.2 MB
: Mwanamke Wa Kislam Baina Ya Pepo Na Maoto 1.mp3
2.
Mwanamke Wa Kislam Baina Ya Pepo Na Maoto 2
8.7 MB
: Mwanamke Wa Kislam Baina Ya Pepo Na Maoto 2.mp3
3.
Mwanamke Wa Kislam Baina Ya Pepo Na Maoto 3
9 MB
: Mwanamke Wa Kislam Baina Ya Pepo Na Maoto 3.mp3
4.
Mwanamke Wa Kislam Baina Ya Pepo Na Maoto 4
8.9 MB
: Mwanamke Wa Kislam Baina Ya Pepo Na Maoto 4.mp3
5.
Mwanamke Wa Kislam Baina Ya Pepo Na Maoto 5
6.5 MB
: Mwanamke Wa Kislam Baina Ya Pepo Na Maoto 5.mp3
Go to the Top