Umoja Wa Kweli

Sauti (Audios) Kadi ya maelezo ya watu wote
Anuwani: Umoja Wa Kweli
Lugha: Kiswahili
Mhadhiri: Abubakari Shabani Rukonkwa
Kupitia: Yunus Kanuni Ngenda
Msambazaji: Ofisi ya da’awah na kuhamasisha jamii ilipo Rabuwa Riyadh
Maelezo kwa ufupi.: 1- Makala hii inazunguzia: Umoja wa kweli amezungumzia kuhusu umuhimu wa kujifunza dini na na faida za mshikamano pia amebainisha matunda ya umoja, na umoja ni suna ya mtume (s.a.w).
2- Makala hii inazunguzia: Umoja wa kweli amezungumzia maana ya umoja na umoja wakweli katika Quraan na suna, pia amezungumzia mishikamano ilio haramishwa na Allah, pia amebainisha maana ya kamba ya Allah.
3- Mada hii imebainisha misingi ya Ahlu sunna waljamaa (Suni waljamaa), na umuhimu wa kuijuwa, miongoni hiyo, msingi wakwanza ni kuamini nguzo zote za imani, msingi wapili nikwamba: imani nikusema na vitendo inazidi kwa kufanya ibada na kupunguwa kwa kufanya maasi.
4- Mada hii imebainisha misingi ya Ahlu suna waljamaa, ikiwemo: uharam wa kumkufurushi muislam, na niwajibu kumtii kiongoza wa waislam, na niharam kuwasema vizuri maswahaba na kuto kuwatukama maswahaba wamtume (s.a.w), amezungumzia itikadi za mashie katika maswahaba.
Tarehe ya kuongezwa: 2015-08-13
kiungo kwa ufupi: http://IslamHouse.com/2769454
Anwani hizi zimepangwa chini ya uainishaji ufuatao::
Kadi hii pia imetafsiriwa katika lugha zifuatazo:: Kiarabu
Viambatanisho ( 4 )
1.
Umoja Wa Kweli 1
28.5 MB
: Umoja Wa Kweli 1.mp3
2.
Umoja Wa Kweli 2
25.7 MB
: Umoja Wa Kweli 2.mp3
3.
Umoja Wa Kweli 3
20.9 MB
: Umoja Wa Kweli 3.mp3
4.
Umoja Wa Kweli 4
17.3 MB
: Umoja Wa Kweli 4.mp3
Go to the Top